Muungano wa usafi wa Mazingira

in English   auf deutsch   på svenska   in italiano   en español   en català   portugues   på norsk   på dansk   nihongo   en français   Kiswahili   по-русски   Nederlands   á íslensku   en Esperanto   chinese   magyar   suomeksi   eesti  
"Moyo mkumbwa umo dani ya matendo mandogo" Raimo O. Kojo, Mwadishi na MwanachamaJiunge na muungano wa usafi wa mazingira
Takataka, inapotupwa ovyo, yachafua mazingira na kuhatarisha maisha ya wanyama . ( more details here) .Twaweza kuwalaumu watu wachafuao mazingira lakini yasaidiani? Wanachama wa muungano huu wameamua njia nyingine.

Tunaokota angalao kitakataka kimoja kila simu na kumwalika angalao mtu mmoja kujiandikisha katika muungano.

Mwanachama mmoja ameandikisha watu wafikao mia moja. Mashule, maskauti na wafanyakazi wote tumewaalika kujiunga nasi. Kulingana na kati ya watafiti, kama takataka sakafuni ni chache divyo uwezekano wa watu kuangusha takataka pale ulivyo ndogo.

Waansilishi wa muungano huu ni Tuula-Maria Ahonen, Mwaandishi, anaishi Helsinki na mabinti wake Iisa( umri wa miaka 9) na Ilona ( umri wa miaka 12). Muungano huu ulianzishwa hapo Aprili 2000.

Muungano ulienea nchini kote kwa mda wa siku chache tu. Wanachama wametoka makundi balibali, watoto, vijana, watu wazima, wazee na familia.

Wanachama wanawaoba watu wote ulimwenguni kujiunga nao. Kusini wanachama wanaishi Honduras na kaskasini mwa ulimwengu wanachama wapatikana Inari, Finland..

Kwa nia ya kumbandirishana mawazo, tumetengeneza listi ya barua. Ukitaka kujiandikisha, soma maelezo yaliyo mwishoni mwa ukurasa huu.

Mtu mmoja aweza kufanya tendo ndogo tu, lakini pamoja twaweza kufanya mazingira yetu masafi kwa binadamu na wanyama kuishi.


"Hakuna aliyefanya kosa kubwa kama yule hakufanya chechote kwasababu angefanya tendo ndogo tu" Edmund Burke, Mwanafilosifia.


Kujiandikisha ili uwe ukipata barua zetu, tuma barua tupu kwa anwani
roskaliike-subscribe@yahoogroups.com

Ama andika amwani yako ya barua za umeme kwenye sehemu uliyopewa na kubonyeza Enter.
Subscribe to littermovement
Powered by www.egroups.com


webmaster